Swahili
- Ukurasa Kuu    - Kumi Juu    - Mada Mpya    - Salimisha Habari    - Tafuta    - Kiswahili Jukwaa    - Kiswahili Wanachama    - Tathmini    - Ujumbe wa Kibinafsi    - Tafiti    - Majarida    - Hadithi Archive    - Maudhui    - Viungo vya Wavuti    - Vipakuliwa    - Maswali ya Kawaida    - Tunapendekeze    - Orodha ya Kuingia   

 

 
EsinIslam Media Swahili: bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Tafuta mada hii:   
[ Nenda nyumbani | Chagua Mada Mpya ]

bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Hikma Ya Ruhusa Ya Ukewenza: Umoja wa Kiislamu wa Elimu Uchumi na Maendeleo Zanz
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Umoja wa Kiislamu wa Elimu Uchumi na Maendeleo Zanzibar
 
Hikma Ya Ruhusa Ya Ukewenza: Umoja wa Kiislamu wa Elimu Uchumi na Maendeleo Zanzibar

Kuna sababu nyingi za kibinafsi, kimaadili, kiuchumi na kijamii zinazoonesha kuwa wakati mwengine kuoa mke zaidi ya mmoja ni jambo lisilobudi.

Kabla ya kulieleza jambo hili ni vyema tukaelewa nini maana hasa ya ndoa (Nikaah) katika Uislam. Ndoa ni mkataba ('Aqd) wa hiari kati ya mume na mke wa kuishi pamoja kwa wema na upendo kufuatana na masharti na taratibu zilizowekwa na sheria ya Kiislam.

Kwani umuhimu wa ndoa kwa mtazamo wa Uislam ni jambo lililokokotezwa sana kutokana na umuhimu wake katika kujenga na kuendeleza jamii. Kama Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Alivyosema katika kitabu Chake kitukufu cha Qur-aan Suratun-Nuur, Aayah ya 32:


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Mama…Kisha Mama…Kisha Mama: Ni Mama Yako Ewe Mja Wa Allaah - Waja Wema Na Kuamil
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Imetayarishwa na

Mama…Kisha Mama…Kisha Mama: Ni Mama Yako Ewe Mja Wa Allaah - Waja Wema Na Kuamiliana Kwao Na Mama

Tutakuwa pamoja nanyi tukizungumzia moyo wenye huruma, moyo wenye ulaini, moyo ulio umbiwa huruma. Tutakuwa tukizungumzia moyo ambao umeumbwa siku ulipoumbwa, ukapandikizwa huruma, tutakuwa na moyo wenye kuhurumia hata kama unafanyiwa ukali. Je, mmeufahamu moyo huo? Hakika si mwingine bali moyo huo ni mama.

Tunamzungumzia mama ambaye maadui wa Allaah wamemuwekea siku moja tu na wakaiita "siku ya mama" na hili si katika Uislamu kwa chochote. Uislamu umeamrisha kumfanyia wema mama (kila siku) mwaka mzima.

Huyo ndiye mama enyi waja wa Allaah. Kiumbe ambaye ameendelea kuwa mbele na mshindi daima.


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Haki Za Mume Na Mke: Nasaha Za Shaykh Kwa Wanandoa
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
الحقوق بين الزوجين: Haki Za Mume Na Mke
(Nasaha Za Shaykh Kwa Wanandoa)

Muftiy al-´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh
Mfasiri:
Abu Bakr Khatwiyb al-Atrush

Himidi zote zi Zake Allaah. Tunamhimidi na kumtaka msaada na tunamuomba msamaha na tunatubia Kwake. Na tunajikinga Kwake na shari za nafsi zetu na matendo yetu maovu.
Hakika yule Aliyemuongoza Allaah hakuna wa kumpoteza. Na Aliyempoteza hakuna wa kumuongoza.
Nashuhudia ya kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allaah wa pekee Asiyekuwa na mshirika. Na ninashuhudia ya kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake swalah za salaam zimuendee na ahli zake na Maswahaba wake mpaka siku ya mwisho. Amma ba´ad:(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Msamaha Na Ujira Mkubwa Tutakaopata Baada Ya Kuzichuma Sifa Kumi Njema
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Msamaha Na Ujira Mkubwa Tutakaopata Baada Ya Kuzichuma Sifa Kumi Njema

Baada kukumbushana maneno ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) katika Aayah tukufu iliyotaja sifa kumi njema, tumeona kwamba mwisho kabisa Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Anasema:
((أَعَدَّ اللَّهُ لَهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا))

((Allah Amewaandalia msamaha na ujira mkubwa)) [Al-Hazab:35](Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Simulizi (Kisa) Ya Hijaab Ya Khawla: Maoni ya Hijaab
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Simulizi Ya Hijaab Ya Khawla


Na Ukht Khawla Kutoka Japan 25/10/1993[1]


Imekusanywa Na: Dr. Swaalih As-Swaalih


Imetafsiriwa Na: ‘Abdun-Naaswir Hikmany                                                               


“Maoni kupitia Hijaab” ni tokeo la kielimu la maisha katika Hijaab.


Imeandikwa na Khawla Nakata; ni ufahamu wa Hijaab kama unavyoonekana kupitia macho ya mwanamke wa Kijapani ambaye ameufuata Uislamu.(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Hijrah: Chanzo Cha Mageuzi
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Khutbah Ya Ijumaa 

Allaah Amejaalia njia ya haki kuwa na ishara za wazi. Na Akajaalia kufikiwa katika lengo linalohitajika kwa juhudi na kujitolea. Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Anasema:(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Kumtii Allaah Na Mtume Ni Njia Pekee Ya Uongofu
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Imetayarishwa na Shani Ahmad

BismiLlaahir-Rahmaanir-Rahiym

Namshukuru Mwenyezi Mungu, ambae Ametuumba na Akatuweka katika ulimwengu ili tumuabudu Yeye pekee. Na Akatupa miongozo yenye kutuwezesha kuishi katika huu ulimwengu Aliotuumbia. Kisha Akatuletea wajumbe ili watufunze na kutubainishia miongozo hiyo ili tupate kuongoka.(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Kumpenda Mtume (SAW) Ni Kumtii Na Kumfuata
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Muhammad Baawazir

Kumpenda Mtume صلى الله عليه وآله وسلم Ni Kumtii Na Kumfuata

Sifa zote njema anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala), Swalah na salamu zimshukie Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), ahli zake na Maswahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema baada yao mpaka siku ya Malipo.
Nawausia kaka na dada zangu pamoja na kuiusia nafsi yangu katika kumcha na kumpenda Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala).(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Mjue Mtume Wako (SAW) Vizuri Uzidi Kumpenda
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu wa Salaamu ‘alaa Muhammad wa ‘alaa  aalihi wa aswhaabihil Kiraam, wa ba’ad,

Mjue Mtume Wako صلى الله عليه وآله وسلم Vizuri Uzidi Kumpenda

Tumeona juhudi nyingi zinazofanywa na makafiri katika nyakati mbalimbali za kumtia kasoro na kumdhalilisha Mtume wetu mpenzi صلى الله عليه وآله وسلم bila shaka Muislamu yeyote anaathirika sana na kupata machungu na maudhi ya kutukanwa kipenzi chetu.(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Tumkumbuke Allaah Sana Na Tuombe Maghfirah Baada Ya Kutenda Mema Katika Siku Kum
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):

 ((وَاذْكُرُواْ اللّهَ فِي أَيَّامٍ مَّعْدُودَاتٍ))

((Na mtajeni Allah katika zile siku zinazohisabiwa)) [Al-Baqarah:203]
Ibn 'Abbaas (Radhiya Allahu 'anhumaa) kasema: "Siku zinazohisabiwa ni siku za Tashriyq" (11, 12, 13 Dhul-Hijjah) [Al-Qurtubiy: 3.3](Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


bakom domstolens rättspraxis ya Kii

SUNNAH NZURI KATIKA UISLAM: Jibu la Sheikh 'Abdul 'Aziz bin Baaz
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )

 
 
SUNNAH NZURI KATIKA UISLAM: Jibu la Sheikh 'Abdul 'Aziz bin Baaz

Imetarjumiwa na Ummu Iyyaad

SWALI: 
 ((Atakayefanya Sunnah njema atapata ujira wake na ujira wa  

              yule atakayefanya kile kitendo mpaka siku ya Kiyama))

Je, kwanza hii ni Hadithi (Sahihi?) 

Pili, kama ni hadithi (Sahihi) je, Mtume صلى الله عليه وسلم aliacha jambo (la Sunnah) kwetu ambalo hakulifanya yeye ili mtu alifanye katika Uislam?? Tunaomba utufahamishe kwa kutufafanulia wazi jambo hili.(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | More | Esin )
 
 


 

 
EsinIslam The Muslim World Portal For Islamics, News, Fatwas, Audios, Videos, Muslim News, Quranic Islamic Articles, Radio, Audio Quran, TV Channels, Fatwa Rulings, Muslim News Newspapers Magazines Headlines Articles Forums Schools, Universities, Colleges, Mosques, Qur'an, Hadith, Sunnah, Fiqh, Prayers, Salat, Fasting Ramadan, Vidoes, Books On EsinIslam.Com And Muxlima.Com

  :-: Go Home :-: Go Top :-: